YALIOJILI SHOW YA KILI MUSIC TOUR ILIYOFANYIKA KAHAMA.


Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Ay akiwapa burudani ya aina yake wakazi wa mji wa Kahama wakati wa Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, MwanaFA akiwachezesha bila kukunja goti wakazi wa mji wa Kahama wakati wa Tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi . Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.

Msanii wa muziki wa dansi, Christian Bella akitoa burudani kwa wakazi wa Kahama wakati wa tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.

Jambo Squad 2: Wasanii wa Kundi la Jambo Squad toka Jijini Arusha wakiwapagawisha wakazi wa Kahama wakati wa tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.

Umati mkubwa wa wakazi wa Kahama uliojitokeza na kufurahia tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Rich Mavoko akiwajibika jukwaani wakati wa tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.

Shilole 3: Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Shilole a.k.a Shishi Baby akiwapagawisha wakazi wa Mji wa Kahama wakati wa wa tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.

Wasanii wa Kundi la Weusi linaloundwa na Joh Makini, Nikki 2, G-Nako toka Jijini Arusha wakifanya onyesho la aina wakati wa wa tamasha la Kilimanjaro Music Tour 2014 lililofanyika Uwanja wa Halmashauri ya Kahama, Jumamosi. Tamasha hili limedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.

0 Response to "YALIOJILI SHOW YA KILI MUSIC TOUR ILIYOFANYIKA KAHAMA."

Post a Comment