MSANII MKONGWE WA MAIGIZO NCHINI SAID NGAMBA ALMAARUFU "MZEE SMALL"AZIKWA LEO KATIKA MAKABURI YA SEGEREA

 Vijana wakiwa wamebeba jeneza lenye Mwili wa Marehemu Mzee Small wakielekea kwenye Makaburi ya Segerea Jioni Hii.
 
 Mwili wa Marehemu Mzee Small ukitolewa kwenye jeneza tayari kupumzishwa katika Nyumba yake ya Milele katika makaburi ya Segerea.Picha Zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog
 Wanahabari wakitafuta taswira katika mazishi ya Mzee Small katika Makaburi ya Segerea
 
 
 
 
 
 


0 Response to "MSANII MKONGWE WA MAIGIZO NCHINI SAID NGAMBA ALMAARUFU "MZEE SMALL"AZIKWA LEO KATIKA MAKABURI YA SEGEREA"

Post a Comment