TANZIA: ALIYEIGIZA FILAMU YA MAISHA YA DIKTETA IDI iAMIN DADA AFARIKI DUNIA

Tanzia: Joseph Olita aliyeigiza kama Idi Amin kwenye
Mhusika mkuu aliyevaa tabia za dictator Idi Amini kwenye filamu ya Rise and Fall of Idi Amin, Joseph Olita amefariki dunia jumapili (June 1) akiwa na umri wa miaka 70.
Imeripotiwa kuwa Olita alikuwa anasumbuliwa na shinikizo la damu na alizidiwa zaidi Jumapili akiwa nyumbani kwake wilaya ya Siaya nchini Kenya na kupoteza maisha majira ya saa tano asubuhi.

0 Response to "TANZIA: ALIYEIGIZA FILAMU YA MAISHA YA DIKTETA IDI iAMIN DADA AFARIKI DUNIA"

Post a Comment