POLISI FEKI ATIWA MBARONI MJINI IRINGAKamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhan Mungi akiwaonyesha maaskari  feki ambao walikuwa wakifanya utapeli katika mikoa ya Iringa na Morogoro. Kulia ni Brazil Nyakunga ambaye ni mwalimu akiwa na sare za polisi na katikati ni bosi wake Goodluck Mbehale.
Askari Polisi mkoani Iringa (kushoto) akiwa na maaskari  feki katika ofisi ya kamanda wa polisi baada ya kuwanasa.

0 Response to "POLISI FEKI ATIWA MBARONI MJINI IRINGA"

Post a Comment