Baadhi ya picha zinazomwonyesha Mrisho Ngassa akibanjuka na Mrembo huyo katika vedio hiyo inayosambaa kwa kasi sana.
Ngassa na Mkewe siku ya Harusi yao.
Ikiaminika kua ni moja kati ya wachezaji wa Tanzania wenye Nidhamu na uwezo wa hali ya juu wawapo uwanjani lakini pia wanaoonyesha kufika mbali kimataifa zaidi katika fani yao hiyo ya Mpira wa miguu,Mrisho Halfan Ngassa anaingia kwenye Skendo chafu ya kupiga picha/vedio akifanya ngono na binti ambae jina lake halikuweza kufahamika mara moja ndani ya hoteli moja jina linahifadhiwa.
Ngassa Baba wa Familia ,mchezaji wa Simba S.S na Timu ya Taifa.Taifa Stars
.Amekua akiangaliwa na vijana wengi wanaopenda Soccer kama Role Modal wao,Ametia doa sifa hiyo hakika kwani hii inaweza kumkosesha deal za maana tu katika maisha yake ya soka si nchini bali hata kimataifa.Pengine ni kulewa sifa na umaarufu lakini hivi sivyo inavyotakikana kua..Unadhani ni picha gani anayoionyesha achana kwa mashabiki wake ambao tunaweza tukapotezea,vipi kuhusu familia yake watoto wake.Na mzigo ndo ushasambaa mtaani means Picha hizo zitaendelea kuwepo milele na milele..
Ngassa akilitumikia Taifa Uwanjani.
Ngassa hana cha kujitetea katika hili ajitokeze hadharani na Aombe Radhi familia na mashabiki wake wote Nchini!!!Sitaki kuamini kua alikuwa amelewa sababu inaaminika pia hatumii kilevi chochote ,na kama ndivyo basi ni Kesi nyingine tena hiyo.Hivyo alifanya alichokifanya akiwa na akilizake Timamu kabisa.
0 Response to "YADAIWA YULE ALIYEBAKWA NA MBASHA NI YULE BINTI ALIYEWAHI KUCHEZA MKANDA WA X NA MRISHO NGASA "
Post a Comment