Wednesday, June 4, 2014 VERA SINDIKA : VIDEO QUEN(MKENYA) MATATA ZAIDI AFRIKA MASHARIKI NA KATI Tukianza na Vera Sidika anafahamika pia kama Vee S Beiby, ni mwanafunzi, model, na mjasiriamali. Vera ameshawahi kushiriki katika video za wanamuziki wakubwa Kenya akiwemo Prezzo na kundi la P-Unit kupitia wimbo wao wa ‘You Guy’ alitokea kama video model. Posted by Art Gallery Tweet
0 Response to " VERA SINDIKA : VIDEO QUEN(MKENYA) MATATA ZAIDI AFRIKA MASHARIKI NA KATI"
Post a Comment