PENNY ALAZWA MAHUTUTI HOSPITALINI

Ni siku ya tatu sasa yule mtangazaji wa Radio mpya ya EFM na ex-girfiend wa Diamond Platnumz , DJ Penny akisumbuliwa na ugonjwa wa Asthma  na hali yake kwasasa bado haijawa nzuri.
Kwasasa penny anasaidiwa kupumua kwa mashine kutokana na Asthma hiyo kufika pabaya.

0 Response to "PENNY ALAZWA MAHUTUTI HOSPITALINI"

Post a Comment