Wednesday, June 4, 2014
MWANA MFALME WA KUWAIT ABADILI DINI NA KUWA MKRISTO
Mtoto wa Mfalme wa Kuwait Prince Abdullah Al Sabah amebadirisha dini na kuingia Ukristo baada ya kukiri kwake kwa kutumia Radio ya nchini Kuwai. Prince Abdullah Al Sabah ndie anaye fuata katika ufalme wa Kuwait. Kuwait kwa mara ya kwanza inaweza ikapata Mfalme ambaye ni Mkristo, jambo ambalo litatikisa falme na nchi nyingi za kiarabu!
0 Response to "MWANA MFALME WA KUWAIT ABADILI DINI NA KUWA MKRISTO"
Post a Comment