Mzee Small amefariki kwa ugonjwa wa presha baada ya kuugua kwa muda mrefu kabla ya kuzidiwa jana na kupelekwa Muhimbili.
Mtoto wa marehemu aitwaye, Muhidin amethibitisha kifo cha Mzee Small. Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali pema Peponi-Amina.
Waombolezaji wakiwa na simanzi nyumbani kwa marehemu Said Ngamba 'Mzee Small' aliyefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa jijini Dar es Salaam.
Waombolezaji wakiwa na simanzi nyumbani kwa marehemu Said Ngamba 'Mzee Small' aliyefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa jijini Dar es Salaam.
0 Response to "Muigizaji mkongwe nchini, Mzee Small Afariki Dunia "
Post a Comment