MALAIKA BAND WAWASHA MOTO JIJINI MWANZA

Cristian Bella ni msanii pekee wa muziki wa dansi nchini Tanzania mwenye uwezo wa kuwaimbisha mashabiki, hilo halina ubishi, amefanya hivyo katika ziara yake kanda ya ziwa hususani jijini Mwanza pale alipoimba na mashabiki huku akiwaachia baadhi ya vipande kuimba nao pamoja katika show yake akiwa na Malaika Band iliyofanyika siku ya Jumamosi ndani ya Villa Park jijini hapa.

0 Response to "MALAIKA BAND WAWASHA MOTO JIJINI MWANZA"

Post a Comment