Wednesday, June 4, 2014 GARI YAGONGA OFISI ZA BENKI YA CRDB-MOROGORO Gari limegonga mlango wa kioo wa Benki ya CRDB, mkoani Morogoro. Taarifa zinasema kuwa dereva huyo alikuwa anataka kurudi nyuma kumbe alibonyeza sehemu ya kuendeshea ndo akaishia kuingia CRBD . Posted by Art Gallery Tweet
0 Response to "GARI YAGONGA OFISI ZA BENKI YA CRDB-MOROGORO"
Post a Comment