
Huko Nigeria watu wanaowekeza kwenye muziki wameanza kuyaona matunda yao hivi sasa ambapo kaka yake Davido ambaye pia ni mmiliki wa label HKN record akiwa na Davido ameweka wazi kuwa Davido huingiza $50,000 (zaidi ya Milioni 84) kwa show moja anayofanya.
Anasema aliwekeza kiasi cha $50,000 katika label hiyo awali na sasa Davido anapiga kiasi hicho kwa show moja tu.
0 Response to "DAVIDO HULIPWA $50,000 KWA KILA SHOW"
Post a Comment