Hivi ndivyo kituo cha Daladala cha Mwenge kilivyo bomolewa asubuhi ya leo
Ulinzi ukiwa umeimarishwa
Kazi ya Kubomoa na kuondoa vibanda ikiwa inaendelea Mwenge
Hili lilikuwa eneo la kupumzikia zamani la Abiria kungoja usafiri nacho kikiwa kimebomolewa
Mmoja wa Mgambo akiwa amebeba Meza kupeleka eneo husika Tayari kwa kuzikusanya kuzipeleka eneo husika
Kazi ya Ubebaji Meza na Mabaki ya Vibanda ikiendelea
Moja ya eneo ndani ya Mwenge walipo hifadhi baadhi ya Meza za Biashara
Bomoa Bomoa ikiendelea upande wa Juu Mwenge
Hapa walikuwa wanabomoa Sehemu zote za vibanda zilivyo zidi mbele
Mgambo anafanya kazi bila Air Mask wakati kazi inaendelea ya Bomoa bomoa
Ulinzi ukiwa umeimarishwa kila sehemu
Hali Halisi baada ya eneo hilo kubomolewa.
0 Response to "BOMOABOMOA KITUO CHA DALDALA MWENGE HII LEO"
Post a Comment