AMBASIA MALIY AWA MISS TABATA 2014

 Redd's Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akitabasamu baada ya kutangazwa  rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata.
Redd's Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akipunga mkono kwa mashabiki wake muda 
mfupi baada ya kutawazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha 
Tabata, Shindano hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Da'west Park,Tabata 
jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia jumamosi.Wengine pichani ni 
Mshindi wa Pili wa shindano hilo,  Faudhia Feka (kulia) pamoja na Mshindi 
wa Tatu, Ramta Mkadara .
 
 Redd's Miss Tabata aliemaliza muda wake, Doris Molel (alieketi) akisuburi kutangazwa kwa mrithi wake.
 Warembo walioingia hatua ya tano bora katika Shindano la Redd's Miss Tabata 2013
 Kumi Bora.
 Warembo wakitoa burudani
 Bendi ya Twanga Pepeta ikitoa burudani kwenye shindano la miss Tabata lililofanyika kwenye usiku wa kuamkia leo.

0 Response to "AMBASIA MALIY AWA MISS TABATA 2014"

Post a Comment