WAHABESHI WAFUNIKA MAONESHO YA SIDO MKOANI ARUSHA

 mkuu wa mkoa wa Arusha  magessa mulongo akiwa anaangalia bidhaa zinazotengenezwa na kabila la wahabeshi katika uzinduzi wa maonyesho ya  sidobaadhi ya bidhaa za shanga zilizopo katika maonyesho ya sido
 mkurugenzi wa Taha Jacqueline Mkindi akiwa anaangalia na kufurahia bidhaa zinazotengenezwaa na shanga zilizopo katika viwanja vya makumbusho katika maonyesho ya wajasiriamali toka  viwanda vidogo vidogo
 wahazabe wakiendelea kutengenez mikuki yao


0 Response to "WAHABESHI WAFUNIKA MAONESHO YA SIDO MKOANI ARUSHA"

Post a Comment