BONDIA, IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AIPAISHA TANZANIA KIMATAIFA

Mkuu wa wilaya ya Kibondo Venance Mwamoto 'kushoto' alivyongoza mashabiki na wapenzi wa mchezo wa masumbwi kumpokea Ibrahimu Class 'King Class Mawe'  aliyeshika mkanda baada ya kurudi na mkanda wa WPBF kwa kumpiga mzambia Mwansa Kabinga katika uwanja wa Arthur Davis kwa k,o ya raundi ya tisa na  kufanikiwa kunyakuwa ubingwa uho wa pili  kushoto ni bondia Shomari Milundi, kulia ni Promota aliyefanikisha safari hiyo Yaj Msangi, wadau Bilali Ngonyani na Rogers Masamu.

0 Response to "BONDIA, IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AIPAISHA TANZANIA KIMATAIFA"

Post a Comment