TUKIO ZIMA LA KUAGWA KWA MWILI WA MAREHEMU GEORGE TYSON,WANANCHI WAZIMIA KWA MAJONZI leaders club

Mwili wa Marehemu George Tyson Ukiwasili Viwanja vya Leaders Jijini Dsm kwaajili ya Kuagwa na hatimaye Kesho Kusafirishwa Kuelekea Nchini Kenya kwa Mazishi(Mazishi huko Kenya yatafanyika Tar 14/06/2014.
 Mwili Ukipelekwa eneo Rasmi la Kuagia Wananchi.Mwili Umeshawekwa eneo lililoandaliwa kwaajili ya Kuaga.
Msanii Monalisi Mke wa Kwanza wa Marehemu akiwa na Mtoto wake aliyezaa na Marehemu George Tyson.
Mkuu wa Mkoa wa DSM.
Mboni akiwa kwenye Majonzi Makali sana ya Kupotelewa na Director wake Marehemu George Tyson.
Simanzi na Vilio Vimetawala kwa hawa watu wa Karibu kabisa na Marehemu George TysonMke wa Marehemu George Tyson akipozwa kwa majonzi mazito.

0 Response to "TUKIO ZIMA LA KUAGWA KWA MWILI WA MAREHEMU GEORGE TYSON,WANANCHI WAZIMIA KWA MAJONZI leaders club"

Post a Comment