TASWIRA ZA KITUO CHA MWENGE KILIVYO KWA SASA MARA BAADA YA KUFUNGWA Kibao kikionyesha kuwa hakuna kituo chochote kutoka Mwenge hadi Lufungila. Lufingila ndio Kituo Cha Kwanza ukiwa unatokea Mwenge kuelekea Ubungo.
 Ndani ya Kituo Cha Mwenge hakuna Msongamano tena wa Magari
Gari la Manispaa ya Kinondoni likipita ndani ya kilichokuwa Kituo Cha Mabasi Mwenge kuwatangazia Wafanyabiashara ndogondogo kuonda eneo hilo hadi kufikia Saa Kumi na Mbili Jioni.

0 Response to "TASWIRA ZA KITUO CHA MWENGE KILIVYO KWA SASA MARA BAADA YA KUFUNGWA"

Post a Comment