PENZI LA JLO NA CASPER SMART VIPANDEVIPANDE

Jennifer Lopez  na Casper Smart wapigana chini
Miaka miwili na nusu ya mapenzi yaliyokuwa yakitajwa kama mfano wa wapendanao kweli imekamilika na story imebadilika pia baada ya Jennifer Lopez na mpenzi wake mwenye umri mdogo, Casper Smart kupigana chini.
Chanzo cha karibu na Jennifer Lopez kimeiambia Us Weekly kuwa wawili hao walianza purukushani za kuachana tangu miaka miwili iliyopita.
“Haikuwa uamuzi rahisi lakini wameamua kuachana na mapenzi na kuwa marafiki. Uhusiano wao haukuwezekana kwa kuzingatia umbali waliokuwa na umbali. Casper alianza kuanzisha maisha yake binafsi na kazi yake, na J Lo nae alianza kujikita katika maisha yake.”

0 Response to "PENZI LA JLO NA CASPER SMART VIPANDEVIPANDE"

Post a Comment