NYUMBA YA BALOZI WA MSUMBIJI DAR ES SALAAM YAWAKA MOTO.

Habari zilizotufikia usiku huu ni kwamba nyumba ya balozi wa Msumbiji iliyoko maeneno ya Masaki inawaka moto sasa hivi Dar. Habari zinaendelea kutupasha kwamba fire wamefika lakini maji yalikuwa kidogo. 

0 Response to "NYUMBA YA BALOZI WA MSUMBIJI DAR ES SALAAM YAWAKA MOTO."

Post a Comment