NEW VIDEO: ALL STARS - TUULINDE

Video hii ambayo ni moja kati ya sherehe za kutimiza miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ilizinduliwa rasmi na Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete uwanja wa Jamuhuri Dodoma (104.4 Clouds FM) Jumamosi ya June 14 2014.

0 Response to "NEW VIDEO: ALL STARS - TUULINDE"

Post a Comment