NDONDI: NGUMI ZILIVYOPIGWA ULINGONI GONGOLAMBOTO JIJINI DAR

Bondia Said Uwezo kulia akioneshana umwamba na Thobias Adaut wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa swai pub ulongoni 'B'  gongolamboto Uwezo alishinda kwa point mpambano huo wa raundi nne .


Bondia Ambokile Chusa kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Shujaa Keyakeya wakati wa mpambano wao uliofanyika Ulongoni Gangolamboto Keyakeya alishinda kwa point.

Bondia Mbaruku Kheri kushoto akioneshana umwamba na Stevin Mwalitwanga wakati wa mpambano wao kheri alishinda kwa K,O ya raundi ya pili.

0 Response to "NDONDI: NGUMI ZILIVYOPIGWA ULINGONI GONGOLAMBOTO JIJINI DAR"

Post a Comment