LULU NA JOTI WAFUNGA NDOA KIMYA KIMYA.

Hatimaye Msanii Elizabeth Michael maarufu kama Lulu afunga Ndoa ya Kimya Kimya na Msanii wa Vichekesho Lucas Mhavile maarufu kama JOTI. Ndoa hiyo ya Kimya imefungwa siku chache zilizopita katika fukwe za Kiota cha Maraha cha Escape 1 Mikocheni
Mchungaji akiwafungisha Ndoa hiyo ambae pia ana kipawa cha Uchekeshaji na MC aitwaye Mc Pilipili.
Lulu akiwa katika vazi la Harusi kabla hajafunga ndoa hiyo.Ndoa hiyo itarushwa leo Saa Nne usiku katika Kituo cha Runinga cha ITV na Marudio yake itakuwa ni Jumapili saa 10 Jioni na Jumatano saa 5 usiku.

0 Response to "LULU NA JOTI WAFUNGA NDOA KIMYA KIMYA."

Post a Comment