MSHAMBULIAJI Simba GEBO PETER AFARIKI DUNIA

Marehemu Gebo Peter enzi za uhai wake.
Mshambuliaji wa zamani wa Sigara na Simba, Gebo Peter amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Beki wa zamani wa Yanga, Bakari Malima ‘Jembe Ulaya' amethibitisha taarifa za kifo hicho.

0 Response to " MSHAMBULIAJI Simba GEBO PETER AFARIKI DUNIA "

Post a Comment