MSANII H.BABA YU MAHUTUTI HOSPITALINI

Staa wa Bongo Fleva na Bongo Movies, Hamis Baba (H. Baba) ameugua ghafla jana baada ya kuanguka wakati akijiandaa kwenda kuaga mwili wa aliyekuwa muandaaji wa filamu za Kibongo, marehemu Geogre Otieno Tyson katika viwanja vya Leades, Kinondoni, Dar siku ya jana.
Kwa sasa amelazwa hospitalini, tutaendelea kukujulisha hali yake!
'Get well soon H. Baba'.

0 Response to "MSANII H.BABA YU MAHUTUTI HOSPITALINI"

Post a Comment