MPENZI WA YOUNG KILLER ONESHA JEURI YA PESA

Unaposaini mkataba wa kufanya show na Kili Music Tour, hakuna wasiwasi kuwa milioni nyingi zitaingia kwenye akaunti yako.Mavuno ya mzee?
Na hakuna kitu kizuri kufurahia pesa iliyoipata kama kumpa mwandani wako azishike na kuzichezea atakavyo.

Sabuni ya roho
Ndio maana Young Killer (kwa inavyoaminika kutokana na picha) aliamua kumpa mrembo wake, Halimaty vitita kadhaa alivyovigeuza kama shuka la kulalia.

Lakini bila ya kutegemea picha hizo zageuka gumzo la jiji baada ya kujisahau kuikagua picha hiyo kabla hajaipost mitandaoni... maziwa yaonekana.... nishiidahh.
Young killer"msodoki"

0 Response to "MPENZI WA YOUNG KILLER ONESHA JEURI YA PESA"

Post a Comment