MOJA YA WANAUME WALIOLAWITI MWANAUME WENZAO ATIWA MBARONI MJINI ARUSHA

 Mmoja wa watu             wanaodaiwa kulawiti wanaume Chekereni, Arusha             akiwa chini ya ulinzi wa wananchi.
Mmoja wa watu wanaodaiwa kulawiti wanaume Chekereni, Arusha akiwa chini ya ulinzi wa wananchi.
Mmoja wa watuhumiwa wa kundi linaloendesha mfululizo wa matukio ya kulawiti wanaume katika kijiji cha Chekereni nje kidogo ya Jiji la Arusha akiwa chini ya ulinzi mkali wa wanakijiji muda huu.
Hii inafuatia maandamano kwenda ofisi ya RCO kutozaa matunda. Wananchi wameazimia kufanya msako mkali ili kukomesha vitendo hivyo..
Mpaka sasa ni wanaume wengi wamelawitiwa kijijini hapo na baadhi wamelala hawawezi kutembea….

0 Response to "MOJA YA WANAUME WALIOLAWITI MWANAUME WENZAO ATIWA MBARONI MJINI ARUSHA"

Post a Comment