MAANDALIZI YA KUAGWA KWA MAREHEMU GEORGE TYSON KWENYE VIWANJA VYA LEADES CLUB.

  Hapa ndipo jeneza lililobeba mwili wa Marehemu George Tyson litakapoka a kwa ajili ya kuagwa.
 Utaratibu huu umeandaliwa katika viwanja vya Leaders Club kwa lengo la kuwapa fursa wakazi wa jiji la Dar es Salaam  kupata nafasi za kuuwaga mwili huo kabla ya kusafirishwa.
 
IMG_4327Ilikuwa majira ya saa kumi na moja alasiri katika hospital ya Aghakan ndipo mwili ulihamishiwa baada ya kutoka hospital ya Kairuki iliyopo Mikocheni. Pichani juu ni gari maalumu la kubeba maiti na hapa lilikuwa likisubiri mwili wa mpendwa wetu Geogre Tyson tayari kwa safari ya kuelekea nyumbani kwake Mbezi Beach Makonde.IMG_4330Pichani ni wafanyakazi wa TV1 wakiwa wanausubiri mwili kutolewa nje.IMG_4333 IMG_4336Mpendwa wetu akiwa ametulia kwenye nyumba yake ya milele.

0 Response to "MAANDALIZI YA KUAGWA KWA MAREHEMU GEORGE TYSON KWENYE VIWANJA VYA LEADES CLUB."

Post a Comment