yalivyojili mashindano ya warembo wenye hips nzuri nigeria


Ijeoma Nnaj-Mshindi 
Hili ni shindano lingine tena linalo husisha wadada wenye maumbo yao.....Wadada walio Jazia Jazia huko Nigeria. Shindano hili lilifanyika usiku wa Jana katika Hotel ya Federal Palace Hotel & Casino.Na mtoto Ijeoma Nnaji akitokea Kano State ndiyo aliyeibuka mshindi....ambae amejinyakulia brand new car....

0 Response to "yalivyojili mashindano ya warembo wenye hips nzuri nigeria"

Post a Comment