Home » Uncategories » SHEREHE ZA UFUNGUZI KOMBE LA DUNIA 2014
Friday, June 13, 2014
SHEREHE ZA UFUNGUZI KOMBE LA DUNIA 2014
Mwanamuziki J-Lo akipagawisha mashabiki wakati wa sherehe za ufunguzi wa Fainali za Kombe la Dunia 2014 kabla ya mchezo wa kwanza wa Kundi A baina ya Brazil na Croatia usiku huu Uwanja wa Corintias mjini Sao Paulo.
+23
+23
Jennifer Lopez akimbo limbo maalum wa Kombe la Dunia 'We Are One (Ole Ola)' pamoja na Pitbull na Claudia Lettie pichani chini
+23
+23
+23
+23
Shabiki wa Brazil akibusu mfano wa Kombe la Dunia. Jennifer Lopez, Pitbull na staa wa Pop nchini Brazil Claudia Leitte wakifanya yao stejini
0 Response to "SHEREHE ZA UFUNGUZI KOMBE LA DUNIA 2014"
Post a Comment