SALHA ISRAEL NA MUME WA JACK CLIFF NDANI YA PENZI ZITO

MISS Tanzania 2011, Salha Israel na aliyekuwa mume wa mwanamitindo maarufu wa Bongo, Jacqueline Patrick, Abdullatif Fundikira picha zao zimenaswa wakidendeka kwa raha zao.
Salha Israel akiwa kwenye pozi la kimahaba na aliyekuwa mume wa mwanamitindo maarufu wa Bongo, Jacqueline Patrick, Abdullatif Fundikira
Baada ya mapaparazi wetu kuzinasa picha hizo kwenye mitandao ya kijamii, walimtafuta Salha na hakupokea simu lakini alipotafutwa Abdullatif na kuulizwa kulikoni? Alitiririka:
“Mh! Kwa sasa sina jibu ila ipo siku kila kitu kitakuwa kweupe msiwe na haraka.”

0 Response to "SALHA ISRAEL NA MUME WA JACK CLIFF NDANI YA PENZI ZITO"

Post a Comment