MKE WA LOWASSA ALIVYOSHEREHEKEA KUADHIMISHA MIAKA 60 YA KUZALIWA

Mke wa Waziri Mkuu Msaafu (Mh. Edward Lowassa),Mama Regina Lowassa (kushoto) akimsikiliza kwa makini Dada yake mkubwa wakati akizungumza machache kwenye hafla fupi ya kusherehekea kuadhimisha miaka 60 ya kuzaliwa kwake iliyofanyika leo nyumbani kwake,Masaki jijini Dar es salaam.
Mama Regina Lowassa akiwa na Marafiki zake wakati hafla hiyo ikiendelea.
Mama Regina Lowassa akipokea zawadi ya Kitabu kutoka kwa mmoja wa Marafiki zake waliohudhulia hafla hiyo.
Wajukuu wakimpongeza Bibi yao.
Mmoja wa wajukuu akitoa burudani.
Watoto wa Mh. Edward na Mama Regina Lowassa,Adda (kushoto) na Pamela Lowassa wakiimba wimbo maalum wa kumpongeza Mama yao kwa kutimiza miaka 60 ya kuzaliwa kwake.

Mama Regina Lowassa akikata keki.
Mama Regina Lowassa akimlisha Keki Mumewe,Mh. Edward Lowassa
Mh. Lowassa nae akalisha keki Mkewe.
Muda wa kufungua Shampein ukawadia.

0 Response to "MKE WA LOWASSA ALIVYOSHEREHEKEA KUADHIMISHA MIAKA 60 YA KUZALIWA "

Post a Comment