Davido afanya wimbo na Meek Mill .

 Davido afanya wimbo na Meek Mill
Davido ametumia nafasi ya kuhudhuria tuzo za BET kuongeza CV ya kazi yake ya muziki na biashara ya kimataifa kwa ujumla baada ya kuingia studio na Meek Mill na kufanya wimbo.
Davido ambaye hivi karibuni alipost picha kadhaa akiwa na Meek Mill na Jennifer Hudson, amethibitsha collabo yake na Meek Mill kupitia twitter.
“Studio last nite was crazy @meekmill #DWMTM” Alitweet Davido.
Akaongeza tweet nyingine:
 View image on Twitter

0 Response to "Davido afanya wimbo na Meek Mill ."

Post a Comment